Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wanabodi tujadili hili, kwa kuwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu kushindwa kukusanya madeni, hivyo kupunguza ufanisi katika utoaji endelevu wa mikopo kwa wanafunzi basi bodi ibaki kutoa mikopo kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu amefaulu vizuri kiasi, Ana division two ya 12 PCM. aliomba Engineering UDSM ila ametemwa kwenye first and second round, Kwenye third imebidi aombe Course nyingine...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
ugavi ni nini
0 Reactions
9 Replies
31K Views
Habari wakuu kwa wale wote mliochaguliwa DIT karibu vijana mpate kuwa wahandisi kwa una swali lolote usisite kuuliza ntakusaidia kadri ya nnavyofahamu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii kitu nataka kuisoma pale SUA,naomba mwenye kuijua zaidi na soko lake la ajira hapa Tanzania likoje
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Tafadhari waungwanwa naombwa mwenye join instructions form ya chuo kikuu Dodoma ya mwaka 2016/17 especially kwa facult ya education Ahsanteni
0 Reactions
7 Replies
2K Views
[emoji95][emoji95]KILIO CHETU[emoji95][emoji95] *Ujumbe huu uufikie umma.* Mnamo tar 19/02/2016 Serikali kupitia Tume ya vyuo vikuu (TCU) ili vifungia vyuo vikuu vishiriki vya Mt Joseph tawi la...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kuna mdogo wangu amechaguliwa mati- mtwara ORDINARY DIPLOMA IN GENERAL AGRICULTURE,(upgrading) sponsored by goverment na joining instruction ilieleza hvyo sasa ameenda na nimelipa pesa...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Nakumbuka Ulipokuwa Tabora Kwenye Kampeni Zako Za Kuomba Rudhaa Ya Wananchi Ya Kukuchagua Wewe Kuwa Raisi ili Uje Uwatatulie Shida Zao! Ulieka Ahadi Ya Kuwa →→→"Yeyote Yule Atakaechelewesha Mikopo...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
naomba kwa mwenye taarifa za yanakopatikana majina ya wanafunzi wa kidato cha tano anisaidia au link maana nimeambiwa yameshatoka ila sijafanikiwa kuyapata.
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wanajamvi, kama kuna mtu mwenye kufaham juu ya chuo hiki tafadhali nahtaji msaada, Nipo Dar sasa ila Nimechaguliwa hapo. Kwenye web sikipati,simfaham yeyote alichaguliwa hapo na sina hata info...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nianze kwa kukupongeza mdogo wangu uliyepata chuo bora kuliko vyote Tanzania. Naamini ni juhudi zako pamoja na Neema za Mungu upo hapo. mlimani chuo kizuri sana LAKINI umakini mkubwa sana...
1 Reactions
0 Replies
688 Views
wadau naomben msaada ....kwa diploma ya phamacy na clinical medigine ipi ni dili kwa miaka mitano au mbelen kwa ujumla........?
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Nina mtoto wa ndugu yangu ni mlemavu anasubiria kupangiwa chuo hadi sasa bado ikishindikana kabisa tunataka akasome urusi kusema kweli inatuhuzunisha sana maana anahitaji uangalizi wa karibu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nahitaji kama kuna mtalaamu wa kutengeneza projects ajitokeze kuna project anatakiwa anisaidie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Licha ya NACTE kuruhusu udahili kwa mara ya tatu kupitia CAS lakini kuna uwezekano mkubwa kwa waliohitimu Diploma kwenye vyuo vya mifugo Tanzania (vilivyo chini ya LITA) kukosa fursa ya udahili...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu,niliapply ardhi municipal and industrial service eng nimepata DDE pcm wamenitema halafu ukiangalia bado haijajaa maana ipo katika course za second round na wao vigezo vyao ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KUKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAZWA KUPITIA MITANDAO Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kukanusha taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa imetangaza sifa...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Je mwenye postgraduate diploma anaweza kuaply kusoma bachelor kwa kutumia matokeo ya postgraduate?
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Back
Top Bottom