ushauri naomba

ushauri naomba

viva666

Senior Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
111
Reaction score
117
HI..........................................

NDUGU ZANGU MIMI NIMEPATA NAFASI YA KUSOMEA UTAALAMU WA MAABARA ZA BINADAMU NGAZI YA DIPLOMA.ILA KWA SASA NASOMA UALIMU NGAZI YA DEGREE KATIKA CHUO FULANI HIVI .

NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE HAPO
 
Matokeo yake yalikuruhusu kusomea degree au ndio njia za panya? Kama yalikuruhusu basi ni vyma ukaendelea huko kama hayakukuruhusu basi nakushauri uende ulipo chaguliwa usije ukatumbuliwa huko uliko nw
 
niko vizuri tu kimatokeo
 
nenda maabara ...mshahara wa mwalimu wa degree ni Mdogo kuliko wa mtu mwenye diploma ya maabara.....
 
Back
Top Bottom