IFM website hacked: Waiondoa hewani tovuti kwa aibu

Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
213
1,726
Wakuu,

Tovuti ya IFM, www.ifm.ac.tz imepigwa kipapa na hackers. Ilikuwa miongoni mwa tovuti dhaifu kabisa nchini ingawa inadaiwa chuo kinazalisha wataalamu wa IT.

Ikiwa imeondolewa hewani:

Screen Shot 2016-10-15 at 09.45.18.png


Inavyoonekana kwenye Search Engines:

Screen Shot 2016-10-15 at 09.49.18.png


Huu ni udhaifu mkubwa
 
Matumizi ya Content Management Systems (CMS), bila kuwa na ujuzi wa kutosha wa kujilinda na wadukuzi. Hayo ndo madhara yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom