Naomba kwa anaejua hili anisaidie....
1. Nina mdogo wangu kapangwa chuo cha st Joseph kusomea MD...
Fees ni zaidi ya million 6 kwa mwaka...
Je..akipata 100% kutoka HESLB inamaana hiyo yote italipwa na serikali au kuna kikomo cha kulipa serikali??
2. Kuna uwezekano wa kubadilishiwa chuo ukiomba????
Natanguliza shukrani...