HESLB wanastahili lawama. Wanastahili kutumbuliwa.

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,195
Reaction score
19,123
Ratiba ya mihula ya vyuo vikuu inafahamika. Inafahamika pia kuwa kuna wanafunzi ambao hawana namna nyingine ya kusoma bila mkopo.
Kama vyuo vimefungua hawa heslb wanadhani watu watajikimu kwa jinsi gani?
Kama ikatokea wanafunzi hasa wa kike wakajikuta wametumbukia kwenye mambo mabaya kwa ajili ya kutafuta wafadhili wa dharula kwa nini bodi wasiwajibishwe kwa hilo?
Kama TCU wanatoa majina kwa awamu kwa nini na bodi wasingetoa kwa awamu ili kila awamu ya TCU ikitoka iambatane na awamu ya bodi ili kila MTU akipata chuo apate
na loan status yake?
 
kweli kabsa me ni muhanga wa hilo
chuo changu mwisho wa usajili ni tarehe 17 ukijisajili baada ya hapo ni fain laki moja
nipo ugenini na nnahitajka kulipa kianzio cha tsh laki nne na elf 85
na hapa mfukon nina elf 70 ambayo niliandaliwa na mzazi nisishangae huku ugenini
sick and tired afu kuna mjinga anapost jf eti kutegemea mkopo ni uzembe dah!! si wengine maskini choka mbaya hatuna njia
 
mwisho wa siku tutachoka tutarud home
kama hawatak kuweka mambo sawa si waseme tusipoteze mda
kwan humu jf hamna watu wa hesbl??
 
kweli kabsa me ni muhanga wa hilo
chuo changu mwisho wa usajili ni tarehe 17 ukijisajili baada ya hapo ni fain laki moja
nipo ugenini na nnahitajka kulipa kianzio cha tsh laki nne na elf 85
na hapa mfukon nina elf 70 ambayo niliandaliwa na mzazi nisishangae huku ugenini
sick and tired afu kuna mjinga anapost jf eti kutegemea mkopo ni uzembe dah!! si wengine maskini choka mbaya hatuna njia
polee mi mwenyewe ni muhanga wa hilo
 
Mimi naona the whole issue no drama.
1. Wanafunzi kuomba mkopo labels tcu hawajatoa majina no fujo to. Tcu watoe majina then wayapeleke loan board
2. Je kwa wanaoendelea vipi government na loan board! Pesa Ipo?
 
Serikari haina heraaa mnataka tufanyajee nyie virazaa
 
hv kwa mfano,aliyeripoti chuo tayari na hana uwezo wa kujisomesha baadaye akaja kuambiwa hajapata mkopo......................itakuwaje?
 
Serikari haina heraaa mnataka tufanyajee nyie virazaa
Kweli walipo watanzania wanne Mmoja wapo anamatatizo ya akili asante [HASHTAG]#Salazar[/HASHTAG] kwa kulidhibitisha hilo, lakin hili jukwaa ni la wasomi mbona umevamia mtu wangu.Jukwaa lako ni lile la Celebrities na photos maana umezoea kuangalia angalia makalio ya Gig Money[emoji23][emoji56]
 
Sishangai mbona mangosha ndo lafudhi yenu unabisha we ndo mmoja kati ya wanne
 
kweli kabsa me ni muhanga wa hilo
chuo changu mwisho wa usajili ni tarehe 17 ukijisajili baada ya hapo ni fain laki moja
nipo ugenini na nnahitajka kulipa kianzio cha tsh laki nne na elf 85
na hapa mfukon nina elf 70 ambayo niliandaliwa na mzazi nisishangae huku ugenini
sick and tired afu kuna mjinga anapost jf eti kutegemea mkopo ni uzembe dah!! si wengine maskini choka mbaya hatuna njia
upo UD kaka?
 
Kuna watu wengine wametoka kwenye familia zenye uwezo, tunaoteseka ni sisi maskini mpaka leo tupo tupo tu hata registration hatujafanya na watu wanaanza masomo daah..
 
Back
Top Bottom