Acha uongo mkuu, hizo hostel zipo mbagala rangi tatu kwa mbele kidogo. Ila lazima apande gari hadi rangi tatu.Zipo karibu na TIA
Sorry kk mm nilikua nauliz tu sema nilisahau kuweka kiulizo mwshon mw sentence, ila mm nahitaji Za karibu na TIA km unajua nifahamisheAcha uongo mkuu, hizo hostel zipo mbagala rangi tatu kwa mbele kidogo. Ila lazima apande gari hadi rangi tatu.
Poa kk, kwa TIA zipo nyingi maeneo ya kwa azz ally na sabasaba sometime mpaka kurasini na kekoSorry kk mm nilikua nauliz tu sema nilisahau kuweka kiulizo mwshon mw sentence, ila mm nahitaji Za karibu na TIA km unajua nifahamishe
Contact km unazo nisaidiePoa kk, kwa TIA zipo nyingi maeneo ya kwa azz ally na sabasaba sometime mpaka kurasini na keko