Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

1.Bodi ya mikopo hivi mpaka sasa mnategemea nini? kuna vijana wamepata post za vyuo wanavyotakiwa kwenda vyuoni wanahitaji kujua wanatakiwa kulipa kiasi gani kama direct cost lakini mpaka sasa...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
..............huvuna tufani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau. Hivi inawezekana kubadili coarse chuoni ukaenda coarse nyingine maana mimi nilimwachia mtu akanifanyia application then nikawa nimeenda JKT sasa nataka nikabadili nisome BAED badala...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu habari za majukumu, Naomba msaada wa vyuo ambayo vinatoa degree ya ICT, Computer Science au IT vilivyopo hapa Dar es Salaam kwa evening classes. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naandika post hii Leo SAA 01:40 USIKU 16/10/2016 . Sitasahau usiku huu nikiwa nmekosa furaha, amani na usingizi lakin yote nimesababishiwa na HESLB !. Inasikitsha pale ambapo masikini anafanya...
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Ni takribani wiki moja na nusu hivi tangu video ya kipigo cha Mwanafunzi ilipokuwa ikisambaa ktka mitandao ya kijamii huku serikali ikifanyia uchunguzi suala Hilo na kugundua tukio hilo lilikua...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hali ya utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imetajwa miongoni mwa mada nzito zitakazojadiliwa leo hii bungeni. Hivyo wahusika mfuatilie.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nakumbuka Ulipokuwa Tabora Kwenye Kampeni Zako Za Kuomba Ridhaa Ya Wananchi Ya Kukuchagua Wewe Kuwa Raisi ili Uje Uwatatulie Shida Zao! Ulieka Ahadi Ya Kuwa →→→"Yeyote Yule Atakaechelewesha Mikopo...
10 Reactions
59 Replies
5K Views
Wakuu nauliza kama inawezekana kwa mtu mwenye diploma ya Clinical Medicine anaweza akasomea degree ya Animal Science inayotolewa pale Sokoine(SUA).
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kujua hili, kwa aliyeaahirisha chuo mwaka 2015, na alikuwa hana mkopo, lakini mwaka huu kaomba, je kuna uwezekano wa huyo mtu kupata mkopo bila usumbufu??
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Wana JF kwa yeyote anayejua chochote kuhusiana na hiki chuo anipe Dondoo hususani mazingira, taaluma, Burudani na accomodation hapo chuoni.
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari wana jf! OK, Mimi ni diploma holder niliaply shahada ya elimu, profile ilionesha nimechaguliwa katika moja ya machaguo (5) Ila nisubili chuo husika kini confirm. jana nikacheki nikawa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu kwa yule ambaye amepangiwa SUA Main campass na hataki kukaa hosteli kuna habari njemaa. Kuna chumba kinauzwa na vitu vyote ndani, yaani wewe unakuja na begi lako la nguo tu. Baada ya mimi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
10) Ellen Johnson Sirleaf (Liberia) Elimu: Master of Public Administration (M.P.Adm.), Bachelor of Economics (BEc), Associate Degree in Accounting (A.A.) Ellen Johnson Sirleaf ni Rais wa 24 wa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habar zenu wadau.... Nimekua nikisikia kuwa mtu ukisoma kozi ya bachelor of science in biotechnology and laboratory sciences(inayotolewa SUA) unaweza kuja kusomea medicine doctor mbeleni.. Je...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha thread kinavyojipambanua kwa nini hawapendi kujitambulisha kwa kutaja majina halisi ya branch zao? Mwenye kujua sababu tafadhali tiririka kidogo
1 Reactions
184 Replies
31K Views
..Watu wanalalamika kuwa hawajapewa mikopo wakati kipindi kile walipuuzia Elimu Bure hadi chuo kikuu,wao na wazazi wao wakasema wanachagua chama cha Nyerere. ..waliimba nyimbo mbalimbali CCM ni...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa website ambayo iko active ya CBE campus ya Dodoma pamoja na tarehe ya kufungua first year..
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana JF! Msaada kati ya Bachelor in science general vs Bachelor of environmental planning and conservation katka suala zima la ajira. Only skilled one are allowed.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom