nikiingia kwenye account yangu naambiwa "didn't apply higher education students loan board 2016/17 sasa Kama sikuomba nawezaje kulog in kwenye account Yangu mwenye uelewa na ili anisaidie plz.
Waungwana, nawasalimu.
Naomba msaada ndugu zangu mwenye admission letter za mzumbe 2016/2017 especially Mbeya campus anisaidie. Au mwenye kufahamu chuo kinafunguliwa lini na first year wanaanza...
ingia TCU cas then ingia view provision result for2016/17 then search kwa form4 au form6 index namba au namba ya simu
TCU CAS | View Provisional Results
Ninaomba msaada kwa mwenye uzoefu au ambaye alishawah kuhamia chuo kingine inakuweje mana ikitokea chuo unachotaka kuhamia kinafungua tarehe Za mwez wa kumi na moja, afu...
jamani naombeni ushauri wenu, degree ya kwanza nimesoma Bchelor of tourism management, na kwasasa nina plan ya kusoma master of project management pale open university of Tanzania, vp ndugu zangu...
Juzi tu serikali ilitoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhisiwa kupokea wanafunzi na Chuo cha hurbert Kairuki kilikuwepo,lakni nashangaa majina ya waliochaguliwa Kairuki yametoka,yaani hii sirikali...
Naomba kuuliza kwa wenyeji wa SUA, ili mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa shahada aruhusiwe kufanya registration ni lazima alipe sh. ngapi? Nauliza hivyo kwa sababu pesa ya kulipa tuition fees sina...
-Kati ya hizo program mbili ipi yenye wigo mpana kwenye kusoma?
-Ipi yenye wigo mpana kwenye ajira na kujiajiri?
-Ipi ni ngumu na ipi ni rahisi?
Mawazo yenu wadau bila kuangalia inatolewa kwenye...
Yaani tangu wanafunzi walipoomba kozi za degree Julai 30, mpaka leo Oktoba 13,profile hazielezi umechaguliwa kwenda wapi ila tu eti "Umechaguliwa, tunasubiri uamuzi wa mwisho wa chuo..."
Ndio...
habari . round ya 1 nilikosa .round ya 2 niliomba TCU halaf nikafuta program zote kwenye profile yang .nikaomba MUM direct chuon bila kupitia TCU. ss hv nikiangalia profile Yang TCU nimeandikiw...
Kuna group whatsaap kwa ajili ya member kutoka college zote za udom, lengo ni kupeana info za hapa na pale za awali...kama utakuwa interested check me whatsaap 0625641036..
Hatimae chuo kikuu MUM kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba mkopo kwa ajili ya masomo yao chuoni hapo,kwa awamu ya kwanza.
Dropbox - APPLICANTS WHO ARE CONSIDERED TO RECEIVE MUM LOAN.pdf
salaam wana jf,
naomba kwa anaesoma iyo course kwenye chuo icho au anaeifahamu anijuze yafuatayo: 1 uwezekano wa mkopo
2 ugumu wa course
3 uwezekano wa ajira
4 walimu
na mengine mengi ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.