Blessingme
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 250
- 52
jamani jamani hii supply chain mbona hamtutoi kila paper haieleweki! inakatisha tamaa
Wewe utakuwa ni kilaza mbona wengine wanamaliza csp banaa?
Sasa hapo tatizo liko wapi? Ina maana kama ni CPSP ndio unaruhusiwa kuwa kilaza?
we kobe kweli hujui kaa kimya professional za watu hizi kijifanya unajuaaa acha wanaojua wachangie! mi c ka unavyofikiria. huwez kuona tatizo until ukaacha umbea! fata professional yako acha umbea wenye field tuchangie kobe kabisa[/QUOTEhii lugha bila shaka ni ya brn product maana....inachefua

how sure u are! angalia ni member wa lini? may be utafuta kauli huyu anauzi sana anajifanya anajuaaa kumbe nothing in his head!
jamani jamani hii supply chain mbona hamtutoi kila paper haieleweki! inakatisha tamaa
unataka zawadi, au uonewe huruma, et? mbona wengine wanapass? jipange mwaya.

inaonekana hujasoma strategic managment, ukiwa 3 year ndo maana inakusumbua
Maana ya BF kwenye hilo somo nini maana nimepata hizo alama[/QUOTE
Maana ya BF kwenye hilo somo nini maana nimepata hizo alama
Kwa nini hujawa kati ya hao 35?