Habari zenu wadau?
Naomba kujua, hapa Tanzania ni wapi kuna project ya kuzalisha black sodier fly larva kwa ajili ya chakula cha kuku au samaki? Au hao flies wanapatikana humu Tanzania, wakoje...
Za mchana wadau?
Nilikuwa napenda kujua au kufahamu zaidi kuhusu hii biashara faida na hasara zake na masoko yakoje?
Nina eneo Kibamba kama acre mbili.
Leo nikiwa kivukoni basi la mwendokasi limeondoka kivukoni huku Dereva wake akipaza sauti kuwa hasimami kituo chochote mpaka Kimara Mwisho huku akiacha abiria wengi kituoni. Najiuliza kiuchumi...
Wadu, naomba anayefahamu anijulishe bei kwa unit moja ya maji ni Tsh. ngapi. Maana ninahisi ninafanyiwa mchezo mchafu na mamlaka ya maji safi na maji taka.
Habari wakuu.
Biashara ina matabaka makuu matatu kulingana na ukubwa wa mtaji ; 1/Wafanyabiashara wakubwa 2/Wafanyabiashara wa kati 3/Wafanyabiashara wadogo.
Wale wadogo uhitaji utafiti kidogo tu...
Link hiyo apo tupitie kwa makini afu tutoe mchango wetu kwa facts na data.
IMF Executive Board Completes the Fifth Review Under the Policy Support Instrument for Tanzania
Habari wanajamvi, nina 15m. Mfukoni nataka niiweke katika biashara, katika kauchunguzi nilikokafanya nimegundua wilaya hii ninayoishi hakuna studio kubwa za kuprint photographic images...so I want...
Salama wakuu,
Natafuta partner ambaye tunaweza kufanya uwekezaji katika shamba langu.
Shamba lipo Arusha wilaya ya Monduli na lina rutuba nzuri kwa kilimo ufugaji na uzalishaji.
Natafuta mtu...
Ndugu zangu,
Nilikuwa nahitaji kufahamishwa kwa mwenye kufahamu wapi walipo mawakala wa bidhaa za kielectronic za kampuni ya SONG SUNG katika mkoa wa Dar es Salaam.
Ahsanteni
Nafanya kazi kwa mtu toka 2012. natafuta mkopo 15m. na take home 1m na naweza kulipa 500,000 kwa mwezi. ninadhamana ya shamba 3acres lenye mkataba wa mahakamani. LINA MAJI NA GARI INAFIKA. benki...
Wakuu,
Nataka nianze kuuza bidhaa online ila nataka niwe nauza kupitia Jumia lakini sijaelewa ni hatua gani natakiwa kufuata.
Je, nifate procedure gani?
Uganda and Tanzania have awarded a contract for designing a crude oil pipeline running through both east African countries to U.S. based firm Gulf Interstate Engineering, an official document seen...
Habari,,,,,,,
Naombeni kufahamishwa Jinsi ya kujiunga na Internet banking (CRDB) na je? Zip code au postal Code Za kusajiri Online payments, ni lazima kuwa connected na internet banking!!? Kwa...
ndugu zangu JFs nawaomba ushauri
nina ndugu yangu amekua akiniomba sana nimsaidie jinsi ya kufanya biashara kwani ameona nimefanikiwa kuendelea nazo na yeye amekua muoga sana kupoteza pesa, sasa...
Nisaidieni kupata Mkopo wa Milioni 10, naweka rehani ya shamba la hekta 10, lipo Mvuti - Msongola- Ilala- Dar es Salaam- Km 7 kutoka JNIA na Km 5 kutoka AZAM Stadium, halijapimwa, lipo kando ya...
hii ni mwaka moja tu huyu jamaa kalima vitungu saumu na viazi mviringo. amelima zaidi ya eka 5 kauchuma wa maana. sasa kwanini na sisi tusijaribu mazao ya biashara? tatizo letu tunakomalia sana...
Tanzania’s inflation rose to 5.0 percent in the year to December, up from 4.8 percent the previous month, pushed up by an increase in food prices, the National Bureau of Statistics reported on...
Karibu katika kuongeza kipato cha kila siku kwa kutumia simu yako kwa watumiaji wa internet wa kila siku
Fuata Link ifuatayo kuongeza dola 10 kwa kila mtu
http://jamiiforums.com/?refcode=95111
Wapendwa,
Nilifanya online business name registration kwa BRELA toka 13/12/2016 lakini hadi leo bado hawajafanya clearance ya business name. Namba ya simu waliyotuwekea ukipiga haipokelewi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.