Msaada: Jinsi ya kuuza bidhaa zangu Jumia

Msaada: Jinsi ya kuuza bidhaa zangu Jumia

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,187
Reaction score
24,579
Wakuu,

Nataka nianze kuuza bidhaa online ila nataka niwe nauza kupitia Jumia lakini sijaelewa ni hatua gani natakiwa kufuata.

Je, nifate procedure gani?
 
Back
Top Bottom