Wako wapi mawakala wa bidhaa za kielectronic za kampuni ya SONG SUNG?

Aug 8, 2016
98
81
Ndugu zangu,

Nilikuwa nahitaji kufahamishwa kwa mwenye kufahamu wapi walipo mawakala wa bidhaa za kielectronic za kampuni ya SONG SUNG katika mkoa wa Dar es Salaam.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom