Boti mpya ya azam marine yawasili Zanzibar leo asubuhi

hafidh

Member
Oct 3, 2011
62
47
9f5998143962cf283a567bbdd0f34508.jpg
 
Slap some duct tape over the holes and screw a trolling motor on it and you're ready to roll.
 
Heading iweke hivi " Azam Marine New Speed Boat arrived today at Zanzibar"

Unajuaje ndio alichomaanisha?

Labda alitaka kusema chombo hicho kilikuwa kimeshafika leo asubuhi, akimaanisha kilifika jana, juzi, wiki iliyopita, huwezi jua.
 
Mkuu hili tangazo limenistua nilikuwa nimeshavaa taulo nikaoge nikasema ngoja kwanza nisome hii habari nilizani unasema meli mpya za baba yako zimeshaingia..... Kumbe za bakhresa !! Aaaaagh! Mambo gani hayo mkuu bakresa tumeshamzoea kuleta boti sijui meli kwake kawaida tu huyo mwarabu ameshateka usafiri wa majini. Yani kidogo ningestuka ungesema " dr mengi kaleta boti mpya ya abiria atlist ningefarijika kuona mtu mweusi nae anawekeza kwenye taifa lake haswa kwenye sector hiyo ya usafiri wa majini. Basi bwana ngoja nikaoge mie
 
Kwani bakhresa mweupe?,kwa taarifa yako bakhresa anasaidia jamii yake kuliko hao matajiri wote unaowajua combined,tofauti yake yeye huwa haiti waandishi wa habari tu.
 
Nilidhani unalo jibu la kunikosoa kumbe nawe unahangaika na labda!?
Unajuaje ndio alichomaanisha?

Labda alitaka kusema chombo hicho kilikuwa kimeshafika leo asubuhi, akimaanisha kilifika jana, juzi, wiki iliyopita, huwezi jua.
 
Hivi bado Tupo tunaovaa taulo kwenda kuoga duh!
Mkuu hili tangazo limenistua nilikuwa nimeshavaa taulo nikaoge nikasema ngoja kwanza nisome hii habari nilizani unasema meli mpya za baba yako zimeshaingia..... Kumbe za bakhresa !! Aaaaagh! Mambo gani hayo mkuu bakresa tumeshamzoea kuleta boti sijui meli kwake kawaida tu huyo mwarabu ameshateka usafiri wa majini. Yani kidogo ningestuka ungesema " dr mengi kaleta boti mpya ya abiria atlist ningefarijika kuona mtu mweusi nae anawekeza kwenye taifa lake haswa kwenye sector hiyo ya usafiri wa majini. Basi bwana ngoja nikaoge mie
 
Mkuu hili tangazo limenistua nilikuwa nimeshavaa taulo nikaoge nikasema ngoja kwanza nisome hii habari nilizani unasema meli mpya za baba yako zimeshaingia..... Kumbe za bakhresa !! Aaaaagh! Mambo gani hayo mkuu bakresa tumeshamzoea kuleta boti sijui meli kwake kawaida tu huyo mwarabu ameshateka usafiri wa majini. Yani kidogo ningestuka ungesema " dr mengi kaleta boti mpya ya abiria atlist ningefarijika kuona mtu mweusi nae anawekeza kwenye taifa lake haswa kwenye sector hiyo ya usafiri wa majini. Basi bwana ngoja nikaoge mie
Acha wivu mkuu, mbona Bakhresa anasaidia sana jamii kwa huduma anazotoa, hata pipi na biskuti unazowaletea watoto wako tu ni product ya Mzee wetu tajiri.
 
Back
Top Bottom