Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau, Mimi si mtalaamu katika maswala ya uchumi ila elimu niliyonayo na uzoefu wa kibiashara vinanipa maarifa ya kuchangia kuhusu kushuka kwa thamani ya Tsh dhidi ya USD. Kwa uzoefu na maarifa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi ni Mtumishi wa umma, nina shida na hela kama milioni tano au sita. Nnaomba anayejua bank zenye makato ya nafuu isizidi laki moja na sabini kwa miaka sita aniambie ukiacha zile zilizozuuliwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf. Mimi ni mfanyabiashara wa duka la rejareja Mbezi kimara, sasa nilichokiona kwa sasa katika biashara ni kila mteja akija anakuja na elfu kumi au elfu tano...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Msaada pls maana tunaambiwa uchumi unakuwa.Kuna Ukweli?.
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Wazee nimewaza sana juu ya namna mambo yetu Tanzania yanavyotofautiana sana na mambo ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea kwa kasi. Bahati nzuri nimeshawahi kuishi kwa muda kwenye baadhi ya nchi...
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Kuna kipindi pumba huwa nyingi mijini na huuzwa kwa bei ya kutupwa, naomba ushauri kwa anayejua nawezaje kuongeza thamani kwenye pumba ya mahindi angalau nikapate chochote.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wana JF, Nimekua nikiumia sana na uharibifu unaofanywa na watu kwenye uoto wetu wa asili. Nina wazo la kuanzisha non profit organization itakayo kua ikitoa elimu kwa vijana na jamii kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavosema, Jamani wahangakaji wezangu mimi sio mjasirimali ila nataka niaze biashara ila nataka mzigo wa biashara nichukulie nje ya Tz. Nikikuwa naomba jinsi gani mnaweza kunisaidia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
#CountDown #MilioniYaZiada. Zimebaki siku 17... KWA NINI WEZI HAWATAJIRIKI... Watu wengi wamekuwa wanashangaa watu wanaiba fedha nyingi, lakini bado wanaendelea kuwa wezi maisha yao yote. Siyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, Naomba mwenye mchanganuo ama ujuzi au uzoefu wowote wa kuexport ndizi nje ya nchi. Nataka kuanzia biashara hii niwe nanunua ndizi hapa nchini na kuzisafirisha kuziuza ulaya. Bei za nje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa ni wapi wanatengeneza toothpick Tanzania.
1 Reactions
28 Replies
19K Views
Kwa sasa naona kila mjanja wa mujini anaanzisha kiwanda cha maji, saizi hapa nimeagiza maji wameniletea maji ya ....(jina kapuni) chupa linanuka uvundo na kwa chini ndani kama kuna chengachenga...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu zangu nahitaji kufanya biashara ndogondogo ya tigopesa na vitu vingine Nawezaje kupata leseni ya biashara na vingine vinavyo takiwa kama Tini number? Naomba msaada ndugu zangu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ASALAM: Naomba kujua jinsi ya kua wakala wa hizi bima kwa mwenye ufahamu wowote naomba anijuze niweze kujitoa kwenye hili dimbwi la wakosa ajira.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kama mtu una channel ya kuleta wawekezaji toka Iran kuna zengwe lolote serikalini? Jamaa ninadeal nao na naona wako straight kuliko waarabu wa Saudia, UAE na kwingine Nishafanya nao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni dhahiri kwamba kutokana na kukerwa na huduma mbovu za Vodacom wateja wengi wameuhama mtandao huu na kuhamia mitandao mingine. Mfano nina wateja wa vodacom 110 kwenye simu yangu. Kati yao, 92...
6 Reactions
128 Replies
13K Views
Wadau, Naomba watu wenye uzoefu wa biashara katika hii nchi wanipe uzoefu, je ni biashara gani toka Tanzania inalipa huko, je toka huko naweza leta nini Tz? Sera zao za biashara zikoje? Vipi...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Hivi wadau, unaweza kufungua vodashop yako private isiyomilikiwa na kampuni ya Vodacom. 2. Kuna hatua gani za kufuata. 3. Unahitajika uwe na mtaji kiasi gani? 3. Pia unatakiwa uwe na vitu gani?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu thamani ya shillingi yetu imazidi kuporomoka kwa kasi. Sabaabu kubwa ni Escrow!
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom