Hivi naweza pata mkopo?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
Nafanya kazi kwa mtu toka 2012. natafuta mkopo 15m. na take home 1m na naweza kulipa 500,000 kwa mwezi. ninadhamana ya shamba 3acres lenye mkataba wa mahakamani. LINA MAJI NA GARI INAFIKA. benki nyingi wanataka muajiriwa wa serikali au muajiri wako awe na waajiri kuanzia 50. picha za dhamana zikihitajika ntatuma.
pia salary slip zote zipo.
Dhamana.
SAM_0378.JPG
2016-05-20 13.43.56.jpg
 
Back
Top Bottom