Granter
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 483
- 361
Habari,,,,,,,
Naombeni kufahamishwa Jinsi ya kujiunga na Internet banking (CRDB) na je? Zip code au postal Code Za kusajiri Online payments, ni lazima kuwa connected na internet banking!!? Kwa alie na experience ya Internet banking and zip code for the Online Business,,
Kuna makato yoyote Bank kwa kuwa Connected na internet Banking?
Naombeni Kufahamishwa.