Fear of the unknown utaizuiaje ili uanze Biashara

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
ndugu zangu JFs nawaomba ushauri

nina ndugu yangu amekua akiniomba sana nimsaidie jinsi ya kufanya biashara kwani ameona nimefanikiwa kuendelea nazo na yeye amekua muoga sana kupoteza pesa, sasa nilikua namwambia aanze tu bila kuogopa na ndio ushauri wangu siku zote kwake as long as amesha jua inalipa,sasa to overcome the fear on the unkown hasa katika kuanza ujasilia mali,Mara nyingi amekua ananiulizia na anaishia hewani kuto fanya kabisa


kuna kipindi alipata Idea ya kupanda Miti na pesa alikua nayo nikawaza kuna jamaa zake mashamba yao yaliungua na moto akaamua kupotezea na pesa akaitumia.

for real some one out there mwenye mti shamba wa ugonjwa huu amsaidie jamaa angu kwa hata ushauri aweze kuanzisha issue zake.
 
Back
Top Bottom