Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Salama wakuu,
Natafuta partner ambaye tunaweza kufanya uwekezaji katika shamba langu.
Shamba lipo Arusha wilaya ya Monduli na lina rutuba nzuri kwa kilimo ufugaji na uzalishaji.
Natafuta mtu ambaye atakuwa tayari tukawekeza katika haya yafuatayo
1. Kufuga kuku wa kisasa na kienyeji kwani ni sehemu tulivu sana ambayo mifugo itakuwa salama na kuongezeka kwa wingi.
2. Kufuga n'gombe na mbuzi shamba lina sehemu yenye rutuba inayotoa majani hivyo kwa ufugaji wa wanyama walao majani watanufaika na kuongezeka zaidi kutokana na eneo husika.
3. Pia uwekezaji wa kiwanda cha kufyatua matofali kujenga hotels au shule
ni sehemu iliyozungukwa na hifadhi za taifa hivyo kuwekeza katika kujenga hotels kunaweza ingiza kipato kwa kulaza Watalii.
Hitaji langu nikupata mtu ambae tunaweza wekeza chochote kati ya hayo tuweze kujikwamua kiuchumi.
Nb: Mungu kanijalia eneo wewe kakujalia pesa, tushirikiane kuleta maendeleo.
Natanguliza shukrani za dhati.