Mkopo wa 10M rehani kwa shamba 10 hekta

BulamboTz

Senior Member
Aug 28, 2016
120
134
Nisaidieni kupata Mkopo wa Milioni 10, naweka rehani ya shamba la hekta 10, lipo Mvuti - Msongola- Ilala- Dar es Salaam- Km 7 kutoka JNIA na Km 5 kutoka AZAM Stadium, halijapimwa, lipo kando ya barabara ya zamani ya Mvuti- Mkuranga aidha lipo Mita 300 kutoka Gereza la Dondwe na zilipo nguzo za Umeme-+255712304898- bulambolife@gmail.com
 
kwa nini usiuze upate hizo hela??

isije ikawa unamuuzia mtu kijanja janja??
 
Wateja hawapatikani,naendelea kutangaza,Shamba hilo linauzwa Milioni 70,Dalali anapewa Milioni 10
 
Back
Top Bottom