Biashara ya Nguruwe

Dodo18

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
315
93
Za mchana wadau?

Nilikuwa napenda kujua au kufahamu zaidi kuhusu hii biashara faida na hasara zake na masoko yakoje?

Nina eneo Kibamba kama acre mbili.
 
nipo interested sana biashara yako kama hutojali tushirikiane kweny iyo biashara pia na kutafuta masoko. 0658047048
 
Za mchana wadau? Nilikua napenda kujua au kufaham zaidi kuhusu hii Biashara faida na hasara zako na masoko yakoje? Nina eneo kibamba kama acre mbili.
Wazo zur ,,, me sifaham sana kuhusian na masoko ila ni mtaalam wa tiba na menegement , na kwa ushaur wa aina ya breed, menegement , feed fomulation na nk,
Unawez. Nichek 0718545651
 
Ivi nguruwe chakula chake bora kbs ni nini. Vipi nikimlisha mabaki ya chakula kama ugali, wali, maharage, makande n.k. Afya yake itakuwa vizuri tu au kutakuwa na mapungufu fulani ?
 
Du
Ivi nguruwe chakula chake bora kbs ni nini. Vipi nikimlisha mabaki ya chakula kama ugali, wali, maharage, makande n.k. Afya yake itakuwa vizuri tu au kutakuwa na mapungufu fulani ?
Duh! huyo nguruwe atajihisi kama yuko shule ya bodingi tena ya serikali
 
Inategemea na umepanda miche gani....kwani we unataka ufanye umwagiliaji? Au mvua za masika
Mkuu naomba usimshauri asubiri mvua za masika, biashara itadoda. cha kufanya mtafute mtaalam aliyemwambia kuwa yeye anafahamu breeding na feeding. anaweza kuuza mara tatu kwa mwaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom