Kama unataka mali utayapata shambani

TLAWI AKONAAY

Senior Member
Sep 16, 2016
110
62
hii ni mwaka moja tu huyu jamaa kalima vitungu saumu na viazi mviringo. amelima zaidi ya eka 5 kauchuma wa maana. sasa kwanini na sisi tusijaribu mazao ya biashara? tatizo letu tunakomalia sana zao la chakula
 

Attachments

  • 1484011733297.jpg
    1484011733297.jpg
    43.6 KB · Views: 40
tufuate maelekezo ya wataalam wetu me nimelima eka 3 ya vitungu saumu.
1.Umelima wapi?
2.Mbegu umenunua wapi?
3.Zinauzwaje?
4.Kiasi gani cha mbegu kinatosha ekari moja?
5. Utaratibu wa kulima vitunguu maji unatofautianaje na hicho vitunguu saumu?
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom