Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,369
- 2,077
Habari wakuu.
Biashara ina matabaka makuu matatu kulingana na ukubwa wa mtaji ; 1/Wafanyabiashara wakubwa 2/Wafanyabiashara wa kati 3/Wafanyabiashara wadogo.
Wale wadogo uhitaji utafiti kidogo tu na kuanza biashara bila mashaka makubwa kwani ni rahisi pia kurecover mtaji wake mambo yakienda Kombo.
Wale wa kati na wakubwa, Huitaji utafiti wa kina na kujiridhisha juu ya mazingira wanayokwenda kuwekeza Rasilimali zao ikiwemo Muda, Fedha, Taaluma, Nguvu na Heshima.
Na hii haimaanishi kwamba biashara iliyo fanya utafiti haiwezi yumba, La hasha. Bali kupunguza athari za kuyumba endapo mazingira yakibadilika.
Maeneo muhimu ya utafiti ni kujua;
1.Wateja wa bidhaa na tabia zao
2.Upatikanaji wa malighafi na misimu yake
3. Bidhaa mbadala endapo bidhaa ya kwanza ikikosekana
4.Plan B ya Kunusuru mtaji endapo mambo yakienda kombo
NBia utafiti ni muhimu kwa biashara inayohitaji kubaki kileleni muda mrefu
Mussa Zaganza
0713-039875
Mtaalamu wa tafiti(Research and Develepment)