Gharama za kuanzisha Studio ya Picha

The Teacher

Senior Member
Feb 2, 2013
176
81
Habari wanajamvi, nina 15m. Mfukoni nataka niiweke katika biashara, katika kauchunguzi nilikokafanya nimegundua wilaya hii ninayoishi hakuna studio kubwa za kuprint photographic images...so I want to invest in it.
ninaomba wanaojua gharama za vitu vya msingi vinavyohitajika wanijuze please..
natanguliza shukrani.
 
Angalia kama pia ni watu wengi wanapiga picha,usije pata asala bule,siku hz watu wanapiga picha kwenye simu tu kwa wingi,isipokua kama wilaya yako ina vivutio vya kiutalii na watu hupiga picha kwa wingi na kusafisha picha zao ili waondoke nazo unaweza fungua,ila kwa mimi sina uzoefu wa gharama hzo
 
Ahsante mkuu, hakuna vivutio vingi vya kitalii but target yangu ni hizi sherehe mbalimbali mfano za harusi, watu wakitaka kusafisha picha ni mpaka waende makao makuu ya mkoa.
 
duh! mil 1 tu haitoshi acheni kumdanganya,epson L850 yenyewe tu bei karibu mil na bado computer,thamani za hiyo ofisi,gharama za frem na nk.nadhani mil 3 unaweza kuanza nazo.
 
Mkuu. Wazo Zuri Lkn anza kidogo kidogo, usikimbilie kununua machine kubwa ama vifaa vingi .

Ningekuwa Mimi ninge anza na Epson Printer A4size = 800,000 Tsh with CISS
Epson Work Force A3 size~ 1.5ml Tsh. With CISS

HIT Printer =400,000 Tsh
Na Ba
 
Back
Top Bottom