I Innocent Shenyagwa New Member Feb 18, 2016 3 1 Feb 9, 2017 #1 Ningependa kujua namna yakuwezesha till no. Yangu (namba yangu ya uwakala) na huduma yakuuza vocha na vifurushi maarufu kama VODAFASTA inawezekana?
Ningependa kujua namna yakuwezesha till no. Yangu (namba yangu ya uwakala) na huduma yakuuza vocha na vifurushi maarufu kama VODAFASTA inawezekana?
BALAGASHIA JF-Expert Member Jan 21, 2017 392 383 Feb 10, 2017 #2 Inawezekana ila haifai laini ya uwakala kuifanyia hiyo biashara kwa usalama wa till yako
I Innocent Shenyagwa New Member Feb 18, 2016 3 1 Feb 10, 2017 Thread starter #3 Usalama!?? Kivipi ndugu BALAGASHIA naomba unichanganulie kidogo
Kv-london JF-Expert Member Jan 24, 2014 2,874 4,980 Feb 10, 2017 #4 Nicheki hapa nikuunganishe na nikuelekeze jinsi ya kununua Voda fastax0764616353 miaka 10yrs on the industry
Nicheki hapa nikuunganishe na nikuelekeze jinsi ya kununua Voda fastax0764616353 miaka 10yrs on the industry