Tupeane uzoefu kuhusu mwajiriwa ambaye pia anafanya biashara ya ufundi bomba

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
930
611
Habari wanajamvi,

Ikiwa mtu ni mwajiriwa serikalini ambaye anatoka kazini saa tisa na nusu jioni lakini pia mtu huyo ni fundi bomba wa kujitegemea.

Je, mtu huyo anaweza akatumia mbinu zipi kufanikisha shughuli zake bila kuleta athari kataka moja ya shughuli zake hizo.
 
Back
Top Bottom