Ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Tanzania kuna utitiri wa mabenki.
Je ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?
Kuanzia huduma kwa wateja, bidhaa, makato, huduma za mikopo,uaminifu na huduma za atm
 
Tanzania kuna utitiri wa mabenki.
Je ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?
Kuanzia huduma kwa wateja, bidhaa, makato, huduma za mikopo,uaminifu na huduma za atm
Kiongozi, sijalielewa vizuri swali lako - inawezekana liko kifalsafa zaidi. Lakini simply kama unataka kunufaika na huduma nzuri ya kibenki nadhani swali lako lingekuwa the other way around like "Je ni benki gani yenye huduma nzuri zaidi"
 
Nilisha wahi kuuliza hivy, nikajibiwa kuwa benki kuu.
Nikatamani kuzimia
kiongozi, sijalielewa vizuri swali lako - inawezekana liko kifalsafa zaidi. Lakini simply kama unataka kunufaika na huduma nzuri ya kibenki nadhani swali lako lingekuwa the other way around like "je ni benki gani yenye huduma nzuri zaidi"
 
I hate foleni katika kupata huduma ya benki hasa pale ninapotaka kudeposit! Unawezaje kuniweka kwenye foleni wakati nakuja kukupatia pesa yangu? Kwenye hili nawachukia mno NBC, NMB na CRDB! Sijui wanaona sifa kuwa na mafoleni marefu!? Aaaghhh.
 
Tanzania kuna utitiri wa mabenki.
Je ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?
Kuanzia huduma kwa wateja, bidhaa, makato, huduma za mikopo,uaminifu na huduma za atm

mmh! DESI............. hahahhhhhhhh au jamani haikuwa kama benki... c ulikuwa unaweka fedha halafu unapata riba(mavuno) mara mbili au tatu ya uliyoweka baada ya mda mfupi..
 
Hili swali jibu lake ni realative zaidi kwani kuna benki hapa hudumaa mbovuu (foleni, atm kimeo, customer service nk) ila maeneo mengine iko poa..

mfano matawi ya benki maeneo ya knyama, city centre, mlimani city, duuuhhhh...kimeooooo
 
I hate foleni katika kupata huduma ya benki hasa pale ninapotaka kudeposit! Unawezaje kuniweka kwenye foleni wakati nakuja kukupatia pesa yangu? Kwenye hili nawachukia mno NBC, NMB na CRDB! Sijui wanaona sifa kuwa na mafoleni marefu!? Aaaghhh.

Sidhani kama unanishinda kuchukia hizo bank.......... yaani nachukia hayo mafoleni mpaka basi. Sasa kibaya zaidi nenda kile kipindi cha tarehe za mishahara.........yaani ndani ya bank balaa na nje kwenye atm zao ndio usiseme. kichefuchefu kitupu....... we have indeed a looooong way to go.
 
Exim, mi nadhani huwa naenda siku mbaya!!!!!!!!!!! mpaka nahisi wana makusudi..............
 
Exim kwa kweli customer service is the worst ever. CRDB nayo naiona hivyo hivyo tu nothing new. NMB is really good coverage na makato si mabaya sana lakini nao mafoleni sasa ndo shida si asubuhi si mchana si jioni.
 
Nadhani NBC wanaongoza kwa ........hakuna network! Shit... inabidi ugeuzie mlangoni,nasikia server yao iko South africa.Jamaa wanafuatilia kila senti inayoingia na kutoka.
 
Exim kwa kweli customer service is the worst ever. CRDB nayo naiona hivyo hivyo tu nothing new. NMB is really good coverage na makato si mabaya sana lakini nao mafoleni sasa ndo shida si asubuhi si mchana si jioni.

I second that. I wish we had something like the Better Business Bureau (as it is in some other countries) where we can go and lodge our complaints to and put them out of business.
 
Kama walivyosema waliotangulia, itasaidia kama tutaziangalia hizi benk kwa huduma zao. Endelez

1. CRDB
  • huduma inayoniridhisha VISA card na money transfer ndani na nje ya nchi
  • Huduma mbaya - Fixed deposit ikimature hakuna automatic renewal, kama hukutoa instruction mpya pesa yako
    haina tofauti na ile iliyochimbiwa chini ya mbuyu.
2. CBA na Stanbic mikopo ya nyumba nahitaji kuona tofauti kati yao na mabenki - masharti ya mikopo na interest.
 
NBC,NMB,CRDB,Access, Ndo zinaongoza kwa huduma mbovu.kinachokele zaidi ni foleni,na kauli mbovu za wahudumu,nk.
 
Exim kwa kweli customer service is the worst ever. CRDB nayo naiona hivyo hivyo tu nothing new. NMB is really good coverage na makato si mabaya sana lakini nao mafoleni sasa ndo shida si asubuhi si mchana si jioni.

EXIM is the worse bank inTanzania. Ukibahatika kupata ATM card hazifanyi kazi . Ukitaka hela counter eti ukasini mbele ya cashier au meneja akusainie sijui mamabo gani? Upuuzi mtupu. Ukitaka benki nenda nyingine mbaya lakini hii uisende nakuambia.
 
Wadau,

Hapa me naona ni hizi NMB na NBC zinaongoza, hakuna professionalism kabisa, hasa hicho kitu cha Customer care and support.
 
Back
Top Bottom