nickson mangowo Senior Member Jul 11, 2015 113 88 Jan 20, 2017 #5 Hivyo vitu vya ndani ataondoka navyo ukishalipa arudishe au niaje!! Na ni vitu gani ? Isije ikawa ni mkeka vikombe vya plastik na redio ya mkulima!!!
Hivyo vitu vya ndani ataondoka navyo ukishalipa arudishe au niaje!! Na ni vitu gani ? Isije ikawa ni mkeka vikombe vya plastik na redio ya mkulima!!!
Daudi1 JF-Expert Member Dec 14, 2013 11,317 15,942 Jan 20, 2017 #6 nickson mangowo said: Hivyo vitu vya ndani ataondoka navyo ukishalipa arudishe au niaje!! Na ni vitu gani ? Isije ikawa ni mkeka vikombe vya plastik na redio ya mkulima!!! Click to expand... Hahahahaaha
nickson mangowo said: Hivyo vitu vya ndani ataondoka navyo ukishalipa arudishe au niaje!! Na ni vitu gani ? Isije ikawa ni mkeka vikombe vya plastik na redio ya mkulima!!! Click to expand... Hahahahaaha
jackito Member Nov 28, 2014 33 24 Jan 20, 2017 Thread starter #7 nickson mangowo said: Hivyo vitu vya ndani ataondoka navyo ukishalipa arudishe au niaje!! Na ni vitu gani ? Isije ikawa ni mkeka vikombe vya plastik na redio ya mkulima!!! Click to expand... Kama hatarudishiwa hela yake atavibeba, kabati, kitanda, friji na vinginevyo.
nickson mangowo said: Hivyo vitu vya ndani ataondoka navyo ukishalipa arudishe au niaje!! Na ni vitu gani ? Isije ikawa ni mkeka vikombe vya plastik na redio ya mkulima!!! Click to expand... Kama hatarudishiwa hela yake atavibeba, kabati, kitanda, friji na vinginevyo.
jackito Member Nov 28, 2014 33 24 Jan 20, 2017 Thread starter #8 kabon14 said: Wanakuja ila kuwa Na moyo wa chuma Click to expand... Mkuu ukiwa na shida lazima ukaze mkanda kukabiliana na yote.
kabon14 said: Wanakuja ila kuwa Na moyo wa chuma Click to expand... Mkuu ukiwa na shida lazima ukaze mkanda kukabiliana na yote.
jackito Member Nov 28, 2014 33 24 Jan 20, 2017 Thread starter #9 Horseshoe Arch said: Jinsia? Click to expand... Kama unataka kusaidia wewe saidia bila kujali jinsia.
Horseshoe Arch said: Jinsia? Click to expand... Kama unataka kusaidia wewe saidia bila kujali jinsia.
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,403 12,765 Jan 20, 2017 #10 jackito said: Kama unataka kusaidia wewe saidia bila kujali jinsia. Click to expand... Maelezo yamekuwa marefu kuzidi jibu ambalo lingekuwa fupi...jinsia please!
jackito said: Kama unataka kusaidia wewe saidia bila kujali jinsia. Click to expand... Maelezo yamekuwa marefu kuzidi jibu ambalo lingekuwa fupi...jinsia please!
federicofernandez JF-Expert Member Jun 19, 2016 578 392 Jan 20, 2017 #12 Dhmana vtu vya aina gani?? Orodhesha hapa
jackito Member Nov 28, 2014 33 24 Jan 20, 2017 Thread starter #13 federicofernandez said: Dhmana vtu vya aina gani?? Orodhesha hapa Click to expand... Angalia post ya 7 Mkuu nimevitaja
federicofernandez said: Dhmana vtu vya aina gani?? Orodhesha hapa Click to expand... Angalia post ya 7 Mkuu nimevitaja
dyuteromaikota JF-Expert Member Apr 30, 2013 5,927 8,307 Jan 20, 2017 #15 njoo forty forty leo saa 5 ucku uchukue. paperwork tutafanya kesho asubuhi wakati wa kuachana.
Ngorunde Platinum Member Nov 17, 2006 4,578 9,519 Jan 20, 2017 #17 jackito said: Angalia post ya 7 Mkuu nimevitaja Click to expand... jackito, Usijichoshe sana huku jukwaani. Ukipata itakuwa ni bahati sana maana wengi huku ni maswali kwa sana bila msaada wowote. Ila kila la heri
jackito said: Angalia post ya 7 Mkuu nimevitaja Click to expand... jackito, Usijichoshe sana huku jukwaani. Ukipata itakuwa ni bahati sana maana wengi huku ni maswali kwa sana bila msaada wowote. Ila kila la heri
kifinga JF-Expert Member Dec 5, 2011 5,249 9,531 Jan 20, 2017 #18 watu makauzu ha ha ha ha msaidieni mwenzenu january imetait mwezi una siku 40 huu
monta JF-Expert Member May 6, 2014 1,203 1,567 Jan 20, 2017 #19 njo geto survey nakupa hata zaidi ya hyo mrembo