Soko la Dunia ni nini?

Masangutu

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
748
547
Habari zenu wakuu wa jukwaa hili,

Naomba kuelimishwa juu ya Biashara ya kimataifa kama ifutavyo:

1.Soko la dunia ninini?
2.Nawezaje kuuza bidhaa yangu nje ya nchi mfano:nataka kuuza Dengu India nafanyaje?
3.Nitaratibu zipi za kufuata ili kuuza bidhaa nje ya nchi mfano. Ulaya, asia n.k?

Ahsanteni naomba darasa lenu.
 
Huu uzi nilioanzisha inaonesha wengi wetu tunahitaji kuelimishwa..
 
Globalisation imefanya dunia kuwa kama kijiji kimoja, uwepo wa utandawazi ni usaidizi wa kuweza kuuza na kununua mahali popote duniani,
Unapozungumzia soko loa dunia unazungumza kuuza na kunua bidhaa au huduma nchi yoyote ya nje mbali na nchini kwako kwa uwazi, Yaani mahali popote duniani.
Soko la dunia ni dhana, dhana ya kuuza au kununua katika nchi ya kigeni, kwa pesa ya kigeni na kwa wageni usiowajua. Soko hili linaweza kuwa moja kwa moja toka kwa mzalishaji mpaka mtumiaji, au toka kwa mzalishaji kupitia njia kati(intermediaries) kama mawakala,wasambazaji,wauzaji rejareja(such as wholesalers, distributers, agents and retailers)
 
Globalisation imefanya dunia kuwa kama kijiji kimoja, uwepo wa utandawazi ni usaidizi wa kuweza kuuza na kununua mahali popote duniani,
Unapozungumzia soko loa dunia unazungumza kuuza na kunua bidhaa au huduma nchi yoyote ya nje mbali na nchini kwako kwa uwazi, Yaani mahali popote duniani.
Soko la dunia ni dhana, dhana ya kuuza au kununua katika nchi ya kigeni, kwa pesa ya kigeni na kwa wageni usiowajua.
Nimeanza kukupata mkuu kwahiyo nikusema hakuna specific country ambayo ndipo hilo soko la dunia liilipo.
 
Je, naweza kupata frem ya biashara hapo kwenye soko la dunia? Tafadhali wasomi wetu mukuje huku bandugu.
 
Je, naweza kupata frem ya biashara hapo kwenye soko la dunia? Tafadhali wasomi wetu mukuje huku bandugu.
Mdau hapo juu ameshaeleza kuwa soko la dunia ni dhana au idea inayotokana na utandawazi, utandawazi huu unaruhusu ununuaji na uuzaji wa bidhaa au huduma popote duniani

Hakuna specific location (mahali) penye World Market ila kuna makao ya World Bank.

Soko la dunia kwa sikuhizi inafanyika zaidi kwa njia ya mitandao.
Nimeanza kukupata mkuu kwahiyo nikusema hakuna specific country ambayo ndipo hilo soko la dunia liilipo.
 
Back
Top Bottom