Ushuru wa simu (smartphones) kutoka China ni sh. ngapi?

Mutashindwa

Member
Feb 6, 2017
18
44
Wadau,

Mimi nina plan ya kufanya biashara ya simu kutoka China lakini sijui ushuru ni kiasi gani pale Airport.

Naomba anaejua anifahamishe.
 
Back
Top Bottom