mbena yero
Member
- Jan 13, 2017
- 53
- 21
Habari za muda huu ndugu zangu! Naomba kwa mwenye ufahamu na maswala ya biashara, je kwa mtaji wa laki saba naweza kuanzisha biashara gani? Ambayo itakuwa na mzunguko mzuri, Naombeni ushauri wenu wadau nawasilisha.Nipo Iringa mjini.