Soko la samaki toka Mwanza

deebo

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
353
229
Habar wakuu? nafanya biashara ya samaki aina ya sato na sangara toka mwanza.. target ni kuongeza soko kwa kuuza samaki nje ya mwanza.. kwa wale mlio nje ya mwanza fursa hii tufanye kazi kama kweli una nia...
 
Back
Top Bottom