srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,149
- 3,862
Habari za jioni ndugu
Katika gazeti la mwananchi wameripoti kuwa kumetokea kupanda kwa bei unga wa sembe kutoka 700 mpaka 2200 kwa kilo moja. Hali inayopelekea kutokea ugumu wa kula ugali na ugali kupanda bei.
Ama kweli hali kwa sasa inazidi kuwa mbaya. Sijui ni wapi tunaelekea