Ndugu wanaJF,
Nipo Spain kwa muda. Ni nchi nzuri na Kubwa ndani ya Ulaya. Watanzania wengi wanaijua sababu ya mchezo wa mpira, Real Madrid, Barcelona FC na kadhalika. Lakini watanzania...
Habari wana JF.
Katika pita pita zangu nimekutana na fursa za uwekezaji katika kilimo, nikaona nilete hapa ili kwa wale watakaoweza kuhudhuria kongamano hili waweze kutuwakilisha watanzania. Ni...
Wataalamu wa masuala ya fedha husema, " I - E = i
I = Income (uwekezaji)
E = expenditure ( matumizi)
i= investment (uwekezaji)
Kwa tafsiri lahisi ni kwamba kipato cha mtu kutoa matumizi yake...
AUS200
Dominant bias: Bullish
The market consolidated from March 3 to 27, and then moved upwards protractedly till the end of March. The bullishness in the market is still being preserved...
Nimeona matangazo mbalimbali yakichagiza wananchi tununue hisa kwenye DSE (Soko la hiza la Dsml) kwa sasa Voda ndio habari ya mjini.
Ukiangalia mauzo ya hisa yameshuka toka 33.3bn to 3.3bn...
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano kushoto pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Bank Bw. Ibrahim Mwangalaba wakisaini makubaliano baina ya kampuni hizo mbili...
Niliwahi kusoma juu ya hujuma za shirika la ndege la Afrika kusini kwa air Tanzania na ilivyopelekea kulidumaza kwa kuuza ndege zilizokuwepo kama chakavu na kuimalisha za kwao katika ardhi yetu...
[emoji95] Hivi kwanini ubaki ukinungunika juu ya ajira na Oriflame ipo kukupa fursa ya kujiajiri na kufanya biashara pamoja nayo?
Usihofu kuhusu elimu yako kikubwa ni umri ambao ni miaka 18 na...
Kuna makampuni ya kuuza na kusafirisha magari ambazo si maarufu kama zilivyo tradecarviews, beforward, sbt, autorec na zingine. Kampuni kama Japan Cars And Trucks Co., Ltd kwangu ni ngeni ila...
Wakuu, ningependa kupata kujua ni madini gani yanayouzika kwa haraka Dar kwa bei yenye tija. Ninauliza kwasababu jamaa yangu ana aina tofauti tofauti na ameniamini kwamba naweza kumsaidia kuuza...
Habari Wana JF, mimi napenda Sana na nina mpango wa kufanya biashara ya kuuza laptops soon. Tatizo ni kwamba sina details za kutosha Kuhusu biashara hii kuanzia uagizaji, kodi na faida Pamoja na...
Habarini,
Binafsi nina miliki biashara ambayo ipo very stable, ki ukweli nimetetereka kifedha nahitaji booster au fedha kiasi hata 1.5ml ingelitisha ili kuinyanyua na kupunguza baadhi ya...
Wadau,
Naomba mtu anayefahamu kiundani gharama za kuanzisha kituo cha Tv anifafanulie.
kikubwa gharama za kununulia mitambo au jinsi ya kupata chanel kwenye vin'gamuzi ambavyo tayari vipo kama...
Habar wana jf,
Ningepend kufaamishwa iv ni benk gan hapa Tanzania, ina uhafueni katka kuhifadhi fedha, yan makato kidogo au km kuna isiyo na makato kabisa, naomb unifahamishe.. Nahtaj kufungua...