Wernery G Kapinga JF-Expert Member Feb 2, 2012 376 127 Apr 5, 2017 #1 Nataka kufungua chuo kwa ajili ya mafunzo ya kozi fupi(Certificate) zipi ni kozi zenye ajira kwa wingi. Naombeni ushaurii wadau.
Nataka kufungua chuo kwa ajili ya mafunzo ya kozi fupi(Certificate) zipi ni kozi zenye ajira kwa wingi. Naombeni ushaurii wadau.
ndoze JF-Expert Member Sep 2, 2016 1,187 1,108 Apr 5, 2017 #2 Education na ukishafungua naomba niwe mwalimu wao ila ulipe fresh sasa
Bengazuu JF-Expert Member Mar 28, 2013 1,029 1,236 Apr 5, 2017 #3 Weka kozi za afya mkuu inalipa pia computer courses bila kusahau ualimu kuanzia nursery