TRA mnatuangusha, wiki mbili hakuna network

nkasoukumu

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
892
411
Kwa zaidi ya wiki mbili hakuna network hivyo wanashindwa kusajili walipa kodi wapya wenyewe wana dai service provider wao ndio tatizo
 
Hawa TIARAEI labda walikuwa busy kurekebisha system kwenye taarifa za usajili wa magari!
Mwanzoni kama ukiwa na registration number ya GARI system ilikuwa na uwezo wa kukuonyesha jina la mmiliki wa GARI.
Lakini baada mfumo huo kutumiwa na wadau kisha wakajua kumbe magari anayotumia Bashite ni ya baadhi ya watuhumiwa wake wa madawa ya kulevya kama vile Tanga petroleum nk, pia kuonyesha kuwa GARI walilotumia wale askari walioenda kuzuia mkutano wa Nape ni GARI linalomilikiwa na Ofisi Kubwa, imebidi wabadili mfumo! Kwa sasa huwezi tena kumjua mmiliki wa GARI hata kama una registration number ya GARI kwa kuingia kwenye mfumo wao wa usajili wa magari. Hawa wametumika kuficha baadhi ya uozo wa "mpiganaji" wa vita ya madawa ya kulevya ili jamii isijue kuwa kumbe hii "vita" ilitumiwa kujinufaisha kibinafsi! Nilitegemea wakanushe kuwa taarifa za hayo magari anayotumia Bashite si za kweli, kinyume chake kuficha taarifa hizo kumethibitisha ni za kweli!
Cha kujiuliza ni kuwa wanafanya haya kwa manufaa ya Nani?
Bashite analindwa hata kwa maovu kabisa aliyoyafanya! Kama mangekimambi anaona, Mungu anaona zaidi!
 
Yaani TRA ni kichefuchefu kila Siku mtandao upo down,hapo hapo kuna bank zinafanya kazi kama kawaida unashindwa kuelewa.TTCL ni jipu kama wao ndiyo kikwazo
 
Hawa TIARAEI labda walikuwa busy kurekebisha system kwenye taarifa za usajili wa magari!
Mwanzoni kama ukiwa na registration number ya GARI system ilikuwa na uwezo wa kukuonyesha jina la mmiliki wa GARI.
Lakini baada mfumo huo kutumiwa na wadau kisha wakajua kumbe magari anayotumia Bashite ni ya baadhi ya watuhumiwa wake wa madawa ya kulevya kama vile Tanga petroleum nk, pia kuonyesha kuwa GARI walilotumia wale askari walioenda kuzuia mkutano wa Nape ni GARI linalomilikiwa na Ofisi Kubwa, imebidi wabadili mfumo! Kwa sasa huwezi tena kumjua mmiliki wa GARI hata kama una registration number ya GARI kwa kuingia kwenye mfumo wao wa usajili wa magari. Hawa wametumika kuficha baadhi ya uozo wa "mpiganaji" wa vita ya madawa ya kulevya ili jamii isijue kuwa kumbe hii "vita" ilitumiwa kujinufaisha kibinafsi! Nilitegemea wakanushe kuwa taarifa za hayo magari anayotumia Bashite si za kweli, kinyume chake kuficha taarifa hizo kumethibitisha ni za kweli!
Cha kujiuliza ni kuwa wanafanya haya kwa manufaa ya Nani?
Bashite analindwa hata kwa maovu kabisa aliyoyafanya! Kama mangekimambi anaona, Mungu anaona zaidi!
Huuu uwanja ni wa biashara na sio siasa mkuu
 
Swala la TRA office ni kila siku tuuu. Mtandao unasumbua kila siku lakini ukimtafuta kishoka mtandao ausumbui, iyo michongo ya vishoka kufanya akuna network ili wawatafute wao. Rushwa inarudishwa nyuma sana Taasisi za serikali
 
Back
Top Bottom