Nimekwama kifedha nahitaji mkopo/mbia wa muda mfupi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,054
23,505
Habarini,

Binafsi nina miliki biashara ambayo ipo very stable, ki ukweli nimetetereka kifedha nahitaji booster au fedha kiasi hata 1.5ml ingelitisha ili kuinyanyua na kupunguza baadhi ya wafanyakazi ili iende sawa sawia. Terms za malipano ni mapatano haita weza zidi Mwezi mmoja utakuwa umechukuwa fedha yako na faida tutakayopatana.Wale wenye senti ambao mmezikalia huku mkitafakari mfanyie nini karibuni sana.
only one month contract!

INBOX ME.
 
Badilisha kidogo biashara yako siyo very stable ndio sababu unarun out of liquidity mpaka unaamua kutafuta Mkopo wa 1.5m .
Nikushauri kama unaweza kujiendesha bila Mkopo katika kipindi hiki ambacho hali ya uchumi wa nchi siyo nzuri sana Fanya hivyo. Hili ni kipindi ambacho unatakiwa ujitahidi sana kukwepa mikopo kwani mzunguko wa fedha ni mdogo na hali ya soko inabadilika badilika sana
 
Back
Top Bottom