Fursa za uwekezaji katika kilimo, ufugaji na viwanda vidogo.

Habdavi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
724
621
Habari wana JF.
Katika pita pita zangu nimekutana na fursa za uwekezaji katika kilimo, nikaona nilete hapa ili kwa wale watakaoweza kuhudhuria kongamano hili waweze kutuwakilisha watanzania. Ni fursa nzuri inayoweza kutuwezesha wajasiriamali wadogo kupitia mpango wa PPP (i.e Private Public Partnership) Ninaamini wenye mamlaka wataliona hili kama fursa kwa watanzania.
 
Attachments

  • Agri_Investor_Discovery_Outward_Missions_AAIDF1491398010.pdf
    816.4 KB · Views: 118
Habari wana JF.
Katika pita pita zangu nimekutana na fursa za uwekezaji katika kilimo, nikaona nilete hapa ili kwa wale watakaoweza kuhudhuria kongamano hili waweze kutuwakilisha watanzania. Ni fursa nzuri inayoweza kutuwezesha wajasiriamali wadogo kupitia mpango wa PPP (i.e Private Public Partnership) Ninaamini wenye mamlaka wataliona hili kama fursa kwa watanzania.
Very interesting.. Hii fursa si ndogo kwa wanaotaka kufika mbali.
 
uzi km huu usitegemee kupata maoni ya watu wengi, coz wabongo tumezoea udaku na umbea km alivyosema mjomba magu, but sio kosa letu ni kutokana na mfumo mbovu wa elimu amboa unazaliwa watu waliosomea kupata vyeti na elimu walioipata haiwasaidii kufikiria kwa mapana na marefu na ubunifu.

na ndo mana hvi karibuni watu wamekuwa wakipiga kelele nyingi sana kuwa bwana mdogo mmoja atoe vyeti vyake coz wao wenyewe walisomea kupata vyeti lakini elimu walioipata haiwasaidii kubuni chochote ktk maisha ya ili waondokane na changamoto nyingi zinazowakabili.

so my friend ukionya maoni ya watu kwenye thread yako ni machache, usifikiri watu hawajaiona au wameipuuzia, nop.....
 
Ni jambo la kushangaza kwa kweli. ..wamesema tutaanzisha/endeleza uchumi wa viwanda lakini hakuna lolote. Fursa hizi wanachangamkia wenzetu tu kila siku kenya, south Africa, Nigeria. Kwanini sisi kila siku ni watu wakuandika sera nzuri lakini kwenye utekelezaji ni zero!!
 
Mkuu me nimeshatuma email hiyo fursa isinipite na kijikampuni changu labda tutatokea humo tukiunganisha nguvu na wenzetu wenye mitaji
 
OK hopefully tutakutana huko...itakuwa vizuri. Nipo busy naanda presentation.
 
Mkiu
uzi km huu usitegemee kupata maoni ya watu wengi, coz wabongo tumezoea udaku na umbea km alivyosema mjomba magu, but sio kosa letu ni kutokana na mfumo mbovu wa elimu amboa unazaliwa watu waliosomea kupata vyeti na elimu walioipata haiwasaidii kufikiria kwa mapana na marefu na ubunifu.

na ndo mana hvi karibuni watu wamekuwa wakipiga kelele nyingi sana kuwa bwana mdogo mmoja atoe vyeti vyake coz wao wenyewe walisomea kupata vyeti lakini elimu walioipata haiwasaidii kubuni chochote ktk maisha ya ili waondokane na changamoto nyingi zinazowakabili.

so my friend ukionya maoni ya watu kwenye thread yako ni machache, usifikiri watu hawajaiona au wameipuuzia, nop.....
mkuu subiri kidogo update mrejesho wa hii semina ndio utafahamu kwanini watu wwngi hawachangii kwenye mada kama hizi maana ni wale wale....
 
Back
Top Bottom