Kuuza madini bila dalali

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,740
14,036
Natarajia wiki ijayo nishuke na vito arusha tatizo pale pana madalali wengi matapeli je ni wapi au njia gani ya kwenda kwa mnunuzi moja kwa moja?
 
Kuna maonyesho y a kimataifa ya Vito, May Arisha, fatilia ujue wanafanyaje, unaweza pata wateja wakimataifa
 
Kama unajua una mzigo gani, thamani yake ni nini, basi nenda kwa wanununzi wa hivyo vito, wale dealers ( sijui ni nini, sijui ni mzigo gani - green garnets au tourmalines au spinel au nini!) nenda kwenye maduka ya dealers moja moja na utauza. Hapa ni kujiamini as long as unaujua mzigo wako.
 
The Only, jibu thread hizo, unakuwa kimya ndio maana husaidiwi mawazo au umeshapata majibu yakukufaa?!
 
Natarajia wiki ijayo nishuke na vito arusha tatizo pale pana madalali wengi matapeli je ni wapi au njia gani ya kwenda kwa mnunuzi moja kwa moja?
Kwenye biashara ya madini madalali/mabroker hawakwepeki hata hao wanunuzi wengi wao ni watu wa kati tu.....wanapewa hela ya kununulia Mzigo tanzania wao wanachofanya wanakushusha bei wao hapo wanakuwa na chao pia....biashara ni kuwa smart tu...
Nishafanya biashara na wwahindi na wathailand wakija wanunuzi ambao wanafikia ktk ofisi zao wale buyers wanawekwa pembeni anayetoa bei ni yule mwenye ofisi....wale wanunuzi kazi Yao ni kukagua mzigo....miaka ya sasa wanunuzi wote ni madalali tu wanunuzi wa kweli walikuwa zamani...kikubwa pigania upate bei ambayo kwako unaona itakulipa

Ova
 
Ingia web wizara ya madini. Nadhani kila mwezi kunakuwa na mnada. Au wasiliana na watu wa Tanzania Geomological Center wanaweza kukusaidia hapo Arusha
 
Kwenye biashara ya madini madalali/mabroker hawakwepeki hata hao wanunuzi wengi wao ni watu wa kati tu.....wanapewa hela ya kununulia Mzigo tanzania wao wanachofanya wanakushusha bei wao hapo wanakuwa na chao pia....biashara ni kuwa smart tu...
Nishafanya biashara na wwahindi na wathailand wakija wanunuzi ambao wanafikia ktk ofisi zao wale buyers wanawekwa pembeni anayetoa bei ni yule mwenye ofisi....wale wanunuzi kazi Yao ni kukagua mzigo....miaka ya sasa wanunuzi wote ni madalali tu wanunuzi wa kweli walikuwa zamani...kikubwa pigania upate bei ambayo kwako unaona itakulipa

Ova
Hakuna mtu hataki kutoa ten per ,ila wengi wanazingua sana na we judge by past experienxe hata kama hana mtaji
 
Mimi nachokijuaga na kukifahamu kwenye uzoefu wangu wa biashara ya madini..[HASHTAG]#the[/HASHTAG] only
Siku zote mjinga ni wakati wa kwenda ....wakati wa kurudi ushakuwa mjanja!kwa maana yah ushalijua soko na kupata contact ya moja kwa moja ya buyer...
Ila kikubwa ni upate broker ambaye ni mwaminifu na muelewa!
Hata mm nishafanya uchimbaji,ubroker so najua maumivu ya jiwe.....ndomana siwezi mshusha au kumpasua mwenye Mzigo...
Mabroker wazushi ni wale ambao wao kutwa wako mjini hata pork halijui wanawavizia wenye mawe wawapasue

Ova
 
Hakuna mtu hataki kutoa ten per ,ila wengi wanazingua sana na we judge by past experienxe hata kama hana mtaji
NENDA ARUSHA HAPO MJINI KUNA MTAA UNAITWA"MTAA WA MADINI"HAPO KUNA OFISI NYINGI TU UTAKUTANA NAZO.....NA UKITAKA KUWAKWEPA MABROKER WE INGIA MOJA KWA MOJA OFISINI JIFANYE MZOEFU WA MAZINGIRA HAYO....USIONESHE KAMA WE NI MGENI

OVA
 
Very constractive

Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom