Naomba kujua gharama za kuanzisha kituo cha Tv

dittu

Member
Dec 2, 2016
75
53
Wadau,

Naomba mtu anayefahamu kiundani gharama za kuanzisha kituo cha Tv anifafanulie.
kikubwa gharama za kununulia mitambo au jinsi ya kupata chanel kwenye vin'gamuzi ambavyo tayari vipo kama Ting, Star times, Azam.
 
Milioni 500 ndo kiundani eti,naomba anayejuwa kiundaini anifafanulie tafadhali
 
Nenda TCRA kaonane na Chief Ntobi ni mwelewa sana yule dingi halafu hana majivuno atakushauri vizuri sana consultancy waone watalaam ninae mmoja at your own time nitafute nikuelekeze ramani atakushauri na kukupa highlights za gharama,kila la kheri nitaomba tenda za car services kama unaanzishia Dar!
 
Back
Top Bottom