Msaada, Benki ya kuhifadhia fedha

Black7

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
367
115
Habar wana jf,

Ningepend kufaamishwa iv ni benk gan hapa Tanzania, ina uhafueni katka kuhifadhi fedha, yan makato kidogo au km kuna isiyo na makato kabisa, naomb unifahamishe.. Nahtaj kufungua account bt sijajua "which is the best"
 
0677 014878 nipigie nikuelekeze hukatwi hata sh.100 kwenye account yako haina makato ni bure
 
Kwa wastani ni EQUITY BANK, ACCESS BANK, NMB na CRDB

Kwa unafuu wa gharama za uendeshaji - ACCESS BANK na EQUITY BANK

Kwa kuzingatia upatikanaji wa benki na mashine za kutolea hela - NMB na CRDB
 
Kwa wastani ni EQUITY BANK, ACCESS BANK, NMB na CRDB

Kwa unafuu wa gharama za uendeshaji - ACCESS BANK na EQUITY BANK

Kwa kuzingatia upatikanaji wa benki na mashine za kutolea hela - NMB na CRDB
Unafuu ktk makato yahuduma wanazotoa ama ni unafuu upi uliouzungumzia hpo
 
Kwa wastani ni EQUITY BANK, ACCESS BANK, NMB na CRDB

Kwa unafuu wa gharama za uendeshaji - ACCESS BANK na EQUITY BANK

Kwa kuzingatia upatikanaji wa benki na mashine za kutolea hela - NMB na CRDB
Naunga mkono hii post....EQUITY ipo vizuri sana kuanzia kufungua account mpaka gharama za uendeshaji.
 
Africa's best bank for sme, more than 11m , largest lender in kenya, presence in all eac countries . Hiyo ndiyo equity bank .
Fungua acc mkuu hata mimi nasubiri nivune mazao ntafungua nasikia wapo vizuri sana nasikia kule kwao kwenye simu tu wanatoa mpaka 62m kwenye simu.
 
Back
Top Bottom