BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Nimeona matangazo mbalimbali yakichagiza wananchi tununue hisa kwenye DSE (Soko la hiza la Dsml) kwa sasa Voda ndio habari ya mjini.
Ukiangalia mauzo ya hisa yameshuka toka 33.3bn to 3.3bn kipindi cha sasa hivi. ACACIA ni moja ya kampuni zenye bei ya juu ya hisa kwa mauzo ya jana.CRDB Benki nimeona zipo chini mnoo Tzs 200/185.
Ukiacha Mzunguko wa fedha na sababu zingine za kiuchumi Maamuzi ya serikali/Rais yanaathiri uchumi kwa kiwango cha kutisha. Mfano Rais kuponda Benki zingine na kufagilia NMB jana niliona ndio benki pekee yenye hisa zikiuzwa juu(2700 per share average) .Pili watu walionunua hiza kwenye.
Kampuni ambazo Rais akiamka asubuhi ana zuia biashara zao baadae uchunguzi ndio unafuata.usitegemee watu watanunua hisa hizo au kuziuza kirahisi na kwa faida.
Ushauri Wabunge waweke sheria ya kuzuia kufannyika maamuzi yenye athari mbaya za kiuchumi bila bunge kuidhinisha.Wawe na uwezo wa kutengua maamuzi ya hovyo katika uchumi.
Mambo ya kujiita mhimili bila kuonyesha nafasi yake ni kuchangia kuharibu maisha ya wananchi.Mahakama sizisemi kwakuwa mpaka sasa Mhimili wake inaelea.
Wabunge wa CCM simamieni wananchi sio Chama/Mwenyekiti wenu.