Msaada Kuhusu biashara ya laptops

EMII

Member
Jul 11, 2016
69
34
Habari Wana JF, mimi napenda Sana na nina mpango wa kufanya biashara ya kuuza laptops soon. Tatizo ni kwamba sina details za kutosha Kuhusu biashara hii kuanzia uagizaji, kodi na faida Pamoja na mambo yote yanayoihusu. Kwa mwenye uzoefu na biashara hii Naomba msaada tafadhali na Nipo tayari kukufata popote ulipo kwa mazungumzo Zaidi. Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom