Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,314
Wataalamu wa masuala ya fedha husema, " I - E = i
I = Income (uwekezaji)
E = expenditure ( matumizi)
i= investment (uwekezaji)
Kwa tafsiri lahisi ni kwamba kipato cha mtu kutoa matumizi yake basi kiasi kinachobaki ni" uwekezaji ".
Ni kweli tupo Katika wakati mgumu Sana kiuchumi. Uwezo wa watu wengi kufanya manunuzi umekuwa ukipungua kila uchwao, mzunguko wa pesa umekuwa ukipungua kila siku na matamko ya Mara kwa Mara yamefanya maisha kutokutabirika.
Pamoja na Hayo yote maisha ni lazima yaendelee. Kwa wale ndugu zetu wenye vipato vya uhakika ni muda muafaka wa kuinuka. Ni vizuri wakajielekeza kwenye kupunguza matumizi au kwa lugha lahisi, "wakaokoka". Kiasi watakachookoa basi wakielekeze kwenye uwekezaji. Binafsi uwekezaji ninaouona kwa sasa kwa mtu asie na "presha & papala" ya kupata kwa HARAKA ni ardhi. Ukinunua ardhi siku si nyingi ardhi italipa.