S.Liondo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,408
- 1,713
Wakuu, ningependa kupata kujua ni madini gani yanayouzika kwa haraka Dar kwa bei yenye tija. Ninauliza kwasababu jamaa yangu ana aina tofauti tofauti na ameniamini kwamba naweza kumsaidia kuuza kama nitaweza ambapo nami nitapata cha juu. Anayo aina nyingi tu ikiwemo Topaz, Ruby, Rhodolite, Sapphire, n.k. Anayejua naomba anisaidia maelekezo.