qmansome Senior Member Sep 25, 2015 108 44 Apr 3, 2017 #1 Wadau napenda kujua wapi naweza kwenda kuuza hizi sarafu za mjerumani, na thamani yake ikoje
Nokia83 JF-Expert Member Jan 16, 2014 24,644 44,287 Apr 3, 2017 #2 Wenzio bagamoyo wanaweka mezani tu wanauzia watu