wakuu wa Arusha/Moshi ningependa kuwafahamisha kuwa nafikiria kufungua ofisi mojawapo ya miji hiyo,mimi ni mchaga lakini nimeishi nje ya hiyo miji kwa muda mrefu sana,
naombeni info kuhusu hali...
Habari za jioni wadau!
Niliwahi kuandka hapa jukwaan kuelezea kuhusu kuhitaji mtu ambaye tunaweza anzisha tuition centre. Nimepata mtu lakini naona hayuko serious, kwa post hii naomba watu walio...
Habari za leo wanajamvi.
Nina malengo ya kuanzisha biashara ya kununua chuma chakavu na makopo ya plastic. Naomba mwenye uelewa wa hii biashara anisaidie mawazo yake na mchanganuo wa hii biashara...
Samahani,
Ukiachana na hii rate ya saivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka Jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia miaka...
Kama inavyojieleza hapo jipatie nyumba ya vyumba vitano IPO Arusha ,field force .
Kiwanja chake ni 20 kwa 20 unaweza pitia Ngusero au Field force .
Serious buyer PM
Yanayoendelea kutokea ni muendelezo wa yale mliyoyanyamazia juu ya wengine kwa kipindi kirefu.
Hakuna kitu kinachoota bila kupandwa mbegu yake, sasa hivi hii ni mbegu iliyokuwa imepandwa na ndio...
Myenye kufahami hii ya Biashara ya imekaaje?!
Natafuta Mwekezaji (business partner) ambaye atapata faida ya laki 5(50%) baada ya kuwekeza Million 1 kwenye biashara yangu yenye leseni , TIN na...
Habarini wapendwa naomba kujua katika hizi siku kuu tajwa hapo juu mjasilia mali huwa anatumia njia gani kuuza bidhaa yake.Yaani awe na vigezo gani aingie ndani,asanten
ECONOMISTS wenzangu wa jukwaa letu pendwa la kiuchumi.
Habari zenu wakuu !
CBA ndio uchumi wenyewe..
Naomba tushirikiane kwa wale wenye ujuzi zaidi jinsi ya kufanya cost and benefit analysis...
Karibuni Sana one2 one focus company Ltd tunajenga nyumba kwa bei nafuu Sana na kununua viwanja na kuuza viwanja kwa bei nafuu Sana pia tunafanya renovation na finish za nyumba (contact...
Wakuu. Nakuleteeni umuhimu wa kumiliki hii Card ya payoner ambayo ukisajiri leo utatumiwa kadi yak ndani ya wiki 3 kupitia njia ya posta,then utaverify kwa kuweka upya namba za siri ,utaweza...
wakuuu habari,naomba msaada wa kuelekezwa wapi wanaburn CD ambazo zinzlakuwa na cover lake juu ya CD, pia nifahamu ni shilingi ngapi kwa CD moja, na wanauwezo wa kubarn CD ngapi kwa siku, msaada wadau
wakuu naomba mwenye Kujua machine ya kubarn/ print CD zenye cover juu, he naweza kupata wapi,na shilling ngapi,na na iana gani hiyo,napenda yenye uwezo wa kubarn CD mia moja kwa siku.msaada wadau
Habari zenu wakuu
Kuna mtu anauza kiwanja ambacho hakijapimwa maeneo ya Kigamboni eneo la muongozo - Shirikisho
Tatizo langu kubwa ni kwamba sina jinsi/namna ya kumjua muuzaji au mmiliki halali...
Wachumi mnisaidie tafadhari, eti kama uchumi unakuwa kwa 7% na mfumuko wa bei ni 7%, hii inamaana yeyote katika tafsiri za uchumi? #elimu #education #economics #
Benki ya Dunia yasifu ustahimilivu wa uchumi wa Tanzania
Benki ya Dunia imesema Tanzania inafanya vizuri katika sekta ya uchumi kuliko nchi nyingine jirani kama Kenya na Uganda kwa ukuaji imara...
Salaam,
Mahali ninapoishi/wilaya haina mahala pa kusafishia picha, inawalazimu kusafiri hadi mkoani kwenda kusafisha picha hizo.Kwangu nimeona kama ni fursa, nnafikiria kuingia kwenye biashara...
Habari wana JR mimi huwa najiuriza swala moja " nyerere alifunga migodi ya madini enzi zake na kusema tutasubili watanzania wapate elimu juu ya madini haya waje wachimbe wenyewe". je hadi sasa...
Speculation would first seem to be one of the easiest things on earth because you might think of making money by hitting bid and ask buttons for trading instruments of your choice. Hitting bid and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.