Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wanajamii, Mimi ningependwa kujuzwa sijui ni bank gani ambayo ninaweza kuweka pesa nikiwa nje ya nchi zikaingia moja kwa moja kwenye account yangu Tanzania mwenye ujuzi wapendwa naomba...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari, Nahitaji kuanza kilimo cha uwagiliaji kwa maana ya bamia,pilipili na nyanya chungu. Naomba mwenye uzoefu wa kilimo huko na urahisi wa kupata maeneo anijulishe.
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari kwa beki kuu ya Tanzania (BoT) baada ya kusikia maamuzi ya kuifuta benki ya FBME baada ya kubainika kuwa ilikuwa ikijihusisha na Biashara ya kutakatisha Pesa haramu (kuingiza Pesa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu, Tafadhali kwa yeyote mwenye uzoefu na usafirishaji wa mazao ya chakula kutoka mikoani kwenda Dar mfano viazi au matunda matunda, kuhusu ushuru, vikwazo vikwazo njiani na nini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Briggs & Stratton Water Pump Model: WP2-60 Briggs & Stratton Intek I/C OHV 6HP engine Cast Iron Volute & Impeller increases durability Heavy-duty impact frame Tool less priming 4 Litre Fuel Tank...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi *** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268 "Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!" Specifications: * Bati Kawaida za rangi 30G *...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Habari wana JF. Wakuu nimepata wazo la kuendesha shindano la mawazo ya biashara humu ndani. Wazo limekuja baada ya kuona wengi tuna mawazo ila hatuna mtaji. Hivyo mwenye wazo bora akiibuka...
8 Reactions
59 Replies
7K Views
Wakuu naomba ushauri ajira nataka nikajaribu kuomba dili kwenye yard za magari niwe natafta wateja kwa kupost picha na specifcation zake ....then nikpata mteja nampeleka wakipatana nakatiwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndugu zangu hii ndo mitaaji niliyo waza siku ya leo na nyie pia mtaongezea mingine na baadhi ya marekebisho kidogo ili tuwekane sawa ; 1. Mtaji wa kibinadamu. Huu ni mtaji wa kwanza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna biashara ya mtandaoni jamaa mmoja amenieleza kuwa imewatoa wengi. Biashara yenyewe ina itwa d9 clube trading. Kama kuna mtu anaifahamu naomba anifafanulie kama haina shida yeyote
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wa ndugu, nina shida ya haraka biashara zangu zimekwama nina hitaji mkopo wa 2ml tu dhamana nina kiwanja kiko mbezi sala sala. Nawasilisha.
2 Reactions
37 Replies
9K Views
Ndugu wa JF, hususani wajasilia mali na wachumi naileta hoja yangu hiyo mbele kwa msaada wenu. Nahitaji mkopo wa 1,000,000/= kabla ya Alhamisi ijayo. Nipo tayari kwa riba ya hadi 10%-20% kwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi *** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268 "Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!" Specifications: * Bati Kawaida za rangi 30G *...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini jamani, Naomba msaada nataka korosho ambazo tayari zimetengenezwa, je nitapata wapi na gharama yake kuanzia kilo moja ni shilingi ngapi?
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Huku pande za moshi unga kilo moja ni 2200, sukari kilo moja ni 3000 na mchele kilo moja ni shilling 2000 hebu tupia na wewe bei ya huko ulipo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, Hiki kitu nimekuwa nacho moyoni nadhani huu ni mwaka watatu sasa, Kwa tuliowengi tunajua Malengo ya kuanzishwa kwa SOKOINE UNIVERSTY - MOROGORO ni nchi iwe na wataalamu wakutosha wa...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Jamani mimi nipo ktk kuandaa Sisal Agribusiness Project. Project duration ni twelve years. Nimesha identify cost zote na benefis. Pia nishaandaa Projected Cashflow statement ya mradi huo...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair went sideways from Monday to Wednesday, and then started rising upwards on Thursday, in the context of an...
1 Reactions
1 Replies
579 Views
Mambo vipi wadau,mwaka jana niliwahi kusikia mihogo ni dili mara mchina kaja kununua sijui iliishia wapi. Coz kuna mahali nina mashamba yangu nataka nijue kama inalipa nianze kuwa bize na kilimo...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
UNASTAHILI ZAIDI YA UNACHOTAMANI Napenda kukusalimu na kukupa pole kwa mizunguko yoote ya siku ya leo... Pole mfanyakazi, pole mfanyabiashara, pole mwanafunzi, pole pia usiye na kazi lakini...
1 Reactions
1 Replies
850 Views
Back
Top Bottom