General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Watu wanakopa mzee,inategemea unafanya aina gani ya biasharaIla si kwa kipindi hiki cha Magu
Hakuna hukumu ya kifungo kwa mdaiwa. Sana sana ukishindwa kurejesha watauza dhamana uliyoweka au kurejesha deni kwa mfumo mtakaokubaliana mahakamani.Nikope nikafie jela hapana... Ngoja niendelee kulima tu vitungu