Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,473
- 4,787
Naomba kufahamu kuhusu huu uwekezaji...tafadhali,hivi 1 square metre ya ardhi ukiambia inauzwa shillingi 5000,inakuwa ina ukubwa gani? na katika kupimwa au kuongezewa inaongezeka vp? mfano mimi nina shillingi laki 3 je nikinunua kwa bei hiyo nitapata eneo la ukubwa kiasi gani? na litatosha kwa shughuli gani au huo ni sawa na ukubwa kisai gani?? nawasilisha mawazo yenu na elimu ya juu zaidi kuelimishana juu ya ardhi.
reference; baada ya kuona matangazo mengi ya kuuza mashamba na ardhi so nahitaji kufahamu thamani ya ardhi wakuu...
Bagamoyo fukayosi
*Mtr 800 toka Bara Bara kuu ya Bagamoyo.
*Huduma zakijamii zipo jirani
*Bei Sh 5,000 kwa Sqm1
Mashamba Bagamoyo Fukayosi.
*Km 3 toka barabara kuu ya Bagamoyo.
*Bei Sh 2,500,000 kwa Ekar 1.maeneo yote yamepimwa na Yana hati.
VKP Investment.