Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau, Mimi ninamtaji wa milioni tatu nataka kufungua duka kubwa la mahitaji ya mwanadamu kama chakula na vitu mwingine. Naomba ushauri
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samaki wabichi jumla na rejareja wanauzwa unaletewa mpaka ulipo Kilo moja:1kg(vipande vitatu vikubwa) 7 500 Kilo mbili:2kg(vipande vinne na nusu) 14,000 Kwa bei zetu za jumla ni rahisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku za karibuni tumepata taarifa mitandaoni na kutoka Benki Kuu ya Tanzania kuhusu kufutwa usajili benki ya kibiashara ya FBME. Msimamizi wa Masuala ya Kisheria (Statutory Manager) wa FBME...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Leo biashara nyingi zimefungwa sababu walilazimishwa kulipa kodi walizokwepa hapo nyuma. Ni sawa! Lakini Madhara yake yamekuwa makubwa kwa Raia maskini, waliokuwa wanategemea vibarua kwenye...
2 Reactions
1 Replies
830 Views
Habari, Nimekuja kwenye jukwaa hili nikiamini kuna wataalamu wa kutosha na wenye uzoefu na mambo ya uchumi, kwa sasa serikali yetu aitoi vibali kwa watanzania kuingiza mahindi/sukari ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unajenga sasa au unataka kujenga ni vizuri kuyajua haya: 1.Kabla hujajenga omba ushauri kwa wataalamu wa ujenzi(Mfano wakandarasi) ili kuepuka kujenga nyumba isio na ubora kuepuka hasara za...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Wasalaam ndugu zangu, Leo katika pita pita zangu huku na huku kuangalia vichwa vya magazeti nimekutana na hii "Prof Mhongo kutia saini mkataba wa Tanzania kuuza mihogo China" kwenye gazeti lao...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
When I first went to university the initial week was filled with the usual getting to know the lay of the land such as how the library works (in a surprisingly mysterious way I might add), where...
1 Reactions
1 Replies
529 Views
Habari wana Jf, kwanza nitangulize heshima kwenu wana jamvi. Nimeuleta huu uzi kwenu kwasababu mpo active muda wote nina imani mtanisapoti. Nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa wenye uzoefu kwenye fani hii, naomba mnipatie makisio ya gharama za kufuga kuku wa nyama kama 500 hivi pamoja na breakdown ya Matumizi na faida. Niko tayari kulipia gharama kama kuna mtu...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi *** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268 "Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!" Specifications: * Bati Kawaida za rangi 30G *...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimetembelea leo web yenu inaniambia imexpire leo i hope mtarudi hewani mapema na aliyezembea hadi imeexpire ajirekebishe anaitia benki aibu.
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Dunia tunayoishi imebadilika Sana,karibia kila kitu kinaendeshwa kidijitali ili kuendana na hali halisi ya mabadiliko ya kisayansi na tekinolojia. Mwaka 2009 January, raia wa Japan Saitoshi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hapa hakuna Road license, sijui Bima na takataka nyingine, naiomba Serikali pia ituruhusu sisi wenye usafiri wa dizaini tuingie katikati ya Mji bila bugudha wa Ubaguzi.
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Nini kinafanya bati za kiwanda kimoja kuwa na bei tofauti? Wakati material ni yale yale,kiwanda hicho hicho na machine hizo hizo! 1.Gauge(unene wa bati) Hiki ni kigezo kikubwa sana katika...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
UNAIMANI NA UCHUMI WA BABA JESKA UTATUFIKISHA LEVEL YA KAT NDANI YA TANZANIA?? Weka point za kisomi! ieleweke Tanzania inajegwa au inabomolewa!
1 Reactions
0 Replies
981 Views
Wana jf kiu imenikaba!
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF, Usiwe na wasiwasi kosa lolote ni kipato kwako. 1. 0 hadi miaka 20 Kuwa mwanafunzi mzuri shuleni na kama utakukuwa unafanya ujasiriamali jitahidi kujifunza uzoefu kidogokidogo na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
[https://i0] SportPesa now in Tanzania...like the Facebook page sportpesa_tz SportPesa, on Tuesday launched operations in Tanzania. The sports betting firm has had successful operations in Kenya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom